Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Ally Senga Gugu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Kabla ya uteuzi huu Bw. Ally Gugu alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma.
Bei ya mafuta ya petroli imepanda kwa Jiji la Dar es Salaam toka shilingi 3,820 kwa lita mwezi Aprili hadi kufikia shilingi 4115 kwa lita mwezi Mei 2026, kulingana na taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Upandaji huo unaonesha kuwa imeongezeka kwa shilingi 295 ikiwa ni mwendelezo wa mafuta kupanda. Taarifa hiyo inaeleza…
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Mkurugenzi wa Emf pamoja na TVE majizzo ameandika ujumbe huu… "Kwa moyo mzito na machozi mengi, nasikitika kutangaza kifo cha rafiki, kaka, aliyekuwa msimamizi wa ndoa yangu, na mfanyakazi mwenzangu aliyeitumikia EFM na TVE kwa nguvu zake zote, ndugu yangu Ssebo". Ssebo amefariki usiku huu katika hospitali ya taifa Muhimbili. Kwa sasa mturuhusu kuaanda…
Mkuu wa mkoa wa Mara amemuagiza RAS wa mkoa huo muda wa…
Leo Julai 5, 2024 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua Kamati…
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka vijana kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali…
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu wanane kwa mahojiano kuhusiana…
Mchezo wa Ligi Kuu ya wanawake baina ya Simba Queens na Yanga…
Mtoto Rafia Adamu mwenye umri wa miaka 8 anayesoma darasa la pili…
Halmashauri Kuu ya CCM iliyoketi leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt.…
Mwimbaji maarufu kutoka Uingereza Liam Payne amefariki dunia siku ya Jumatano Oktoba…
The summer is a fun and energetic time of year, and a favorite time to travel. It’s also the perfect time to wear your boldest and brightest clothes, try new trends, and take risks.
Sign in to your account
