Manowari ya Marekani yatia nanga Vietnam.

Mamowari ya Marekani Carl Vinson inafanya ziara ya kihistoria nchini Vietnam kwa mara ya kwanza kwa meli ya aina hiyo kuzuru Vietnam tangu vita kumazilika.

Manowari hiyo inayotumia nishati ya nyuklia itatia nanga katika bandari wa Danang ambapo wanajeshi wa Marekai walitua kwanza wakati wa vita.

Hii inamaana ya kuonyesha ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi hizo.