Nike yavujisha usajili wa Coutinho.

Kampuni ya Nike Jana imevujisha Siri ya usajili wa mchezaji wa Liverpool Philippe Coutinho kwa kuweka jezi yake ambayo tayari ameshaandaliwa na Barcelona kwenye tovuti yake.