Romy Jons kuja na mipango mipya 2018.

DJ wa Diamond Platnumz kutoka WCB, Romy Jons aka RJ DJ amefunguka kwa kusema kuwa tayari ameanza kutengeneza brand yake mpya ya U-DJ ambayo itasimamiwa na WCB.

DJ huyo amedai atakuwa anaandaa project mbalimbali za kuwashirikisha wasanii wa kimataifa na wale wa ndani.

Romy ambaye pia ni makamu wa Rais wa WCB Wasafi amekuwa na safari nyingi sana za nje ya nchi kutokana ka kazi yake ya U Dj.