Chris Brown na zawadi ya Christmas.

Ikiwa ni wiki chache tu! toka aachie albamu yake ya ‘HeartBreak On A Full Moon’ iliyokuwa na ngoma zaidi ya 40. Albamu hii ambayo inataoka sasa ina jumla ya ngoma 12 na ametumia ukurasa wake wa Twitter kuwajulisha mashabiki zake kuhusua albamu hiyo itakayopatikana kwa mfumo wa kidigitali.

Moja ya mtu atayayesikika katika albamu hiyo ni mwanadada AgnezzMo anayedhaniwa kuwa ni mpenzi mpya wa CB, mrembo huyo atasikika ngoma ya ‘On Purpose’.