Nuh Mziwanda aahirisha kudai mtoto Ustawi wa Jamii.

Msanii wa muziki, Nuh Mziwanda amefunguka kwa kueleza namna alivyoamua kuachana na mambo ya kumpeleka aliyekuwa mke wake, Nawal, Ustawi wa Jamii akitaka kukabidhiwa mtoto wake. Muimbaji huyo amesema amesitisha hatua hiyo baada ya kuona hakuna umuhimu wa kufanya jambo hilo.